Tafuta samsung mkuu...hao wote ni chenga tu!!
Chukuwa n7 ndio utaamn yote
Tafuta samsung mkuu...hao wote ni chenga tu!!
Samahani naomba mnifahamishe namna ya ku end application ambazo zipo online maana betr inalika sana wakuu naumia TECNO N3.
Kama una bajeti ya 150 tafuta tecno l3 hii ni jelly bean 4.1, ram 512, cpu ni 1ghz na memo ya 8gb pamoja na 2gb unazozikuta na kikubwa kuliko vyote ni uwezo mkubwa wa kukaa na chaji hii ni 2100amh! Tatizo lake ni ubora wa camera tu yenyewe ni 3mega
We bwana chukua Tecno Phantom A+...hutojuta milele
Mkuu bei yake ni ngapi hii naona iko vzuri sana.