HP workstation computer as server

HP workstation computer as server

yonga

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
2,000
Reaction score
2,290
Habari wana JF,

Naomba msaada wa shauri nina weza kutumia HP workstation computer kama server na ikafanya kazi vizuri kama server za kawaida,asanteni.
 
Mi sio mtaalam sana wa hizo server ila naona jamaa hadi hivi videsktop viduchu vya baytrail wanavitumia kama server, so jibu ni ndio ila sijui kama yenyewe kama ilivyo inatumika kama server au utahitaji additional hardware.
 
asante mkuu, ila nilikuwa nataka isiweze kufanya kazi 24 yan isizime kama PC ya kawaida inavyozima zima?
 
I mean iweze kufanya kazi masaa 24
 
kama unatumia windows nenda kwenye power option, na kama huijui ilipo bonyeza start then search power option. hapo utaona unaambiwa uchague muda wa computer kusleep eka never, then computer itakaa on 24hrs.

ila uangalie uwezo wa cpu na cooling zako zilivyo na kazi unayoipa mashine maana hali ya hewa yetu ya joto sana ni rahisi pc kupata moto sana. ikiwezekana nunua cooler au feni la kiaina kwa ajili ya kupozea
 
Back
Top Bottom