mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 262
- 117
Watalaam naomba mnisaidie program ambayo itaniwezesha kutuma sms zaidi ya 20000 kwa pamoja au kwa makundi makundi kwa muda mfupi.
Hebu m pm Donn
Watalaam naomba mnisaidie program ambayo itaniwezesha kutuma sms zaidi ya 20000 kwa pamoja au kwa makundi makundi kwa muda mfupi.
Donn
Csv ndio nini mkuu, ili uwezeshwe kutuma bulksms ni lazima usubscribe kwa service provider au ni application tu inaweza.