Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
Habari za mwaka mpya wanabodi ?
Hapo juzi kati mdogo wangu kanikabidhi simu ya samsung wave 3 s8600 ambayo inatumia Bada OS, Nimejaribu kila namna kuinstall whatsapp na apps zinginezo kama instagram etc lakini nimeambulia patupu.
nimejaribu hadi whatsapp ja java(jar/jad file) but inagoma kuvertify namba ya simu Kama kuna mdau anajua jinsi ya kusolve hili naomba anirescue.
CC Chief-Mkwawa C6 njunwa wamavoko raekin Paje Shaffin Simbamwene leh Mwl.RCT na wadau wengineo