Tishio kwa kampuni za simu: WhatsApp voice

Tishio kwa kampuni za simu: WhatsApp voice

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
WhatsApp wanakuja na huduma ya kuongea kupitia app yao, watu wameshaanza kuifanyia majaribio india na inapiga sauti clear hata ukiwa edge!
 
Eng Kang

kuna uwezekano wa "ku-categories" digitali? Maana kwamba "00110011" ni sauti na "00011100" ni text?
 
Last edited by a moderator:
Ha! Mbona sio wenye wechat hako ka huduma tunako mda mrefu... Tena na video call juu

Faster and clean
 
Whatsapp mkono wa NSA

1.message zako zinakaa kwenye simu na si server zao

2.hufanyi registration hivyo hawajui

-email yako

-jinsia yako

-umri

-jina lako

Badala yake unatumia namba tu hivyo hujui identity ya mtu.

Whatsapp ni safe sana huwezi compare na mitandao kama skype, viber, wechat na wengineo

Ndio maana nchi nyingi wanaban im nyengine ila whatsapp haiwi banned
 
Kwe uwezo mkubwa wa facebook hawa jamaa wana uwezo mkubwa tu kuleta high quality voice calls, mitandao itabidi itafute njia nyingine ya kubana, sooner or later internet ilikua itake over hizi analog communications, that time is now...

No more paying for sms or calls, MB10 peke yake inatosha 1hr video call na txts buku kabisa.... tatizo ni watu walio nyuma ya technology ambao bado hata internet hawajawahi tumia
 
Hapo wala hakuna tishio kwanza cyo cmu zote zinasupport hyo app.
 
WhatsApp wanakuja na huduma ya kuongea kupitia app yao, watu wameshaanza kuifanyia majaribio india na inapiga sauti clear hata ukiwa edge!

Sasa tishio hapo nini.. viber wana call, line. Skype wechat na nying tu. Whatsapp sio ya kwanza
 
Bbm video ndo baba lao wootee hao wanasubiri
 
Chief-Mkwawa

Whatsapp inafuctionality zifuatazo ambazo zinatia mashaka kwa programmer kama mimi.

A. Ina-access ya file system ya simu yako bila kutumia super user permissions hivyo inauwezo wa kudownload picha na videoz kish kutunza kwenye simu yako .mfano video na picha za kundi. Fuctionality hii inaweza kutumiwa vibaya kuangalia file system yako na kudownload picha na video files ulizotunza kwenye simu yako .

B. Registration inafanyika kichinichini kwa kutumia sms za kawaida.

C. Ina-access na microphone pamoja na camera ya simu. Fuctionality ya kutuma voice message.
Hivyo kama wewe ni gaidi na unatumia whasapp. Guantanamobay 🙂 inakusubili coz jamaa wanakusikiliza na kukucheki kipindi ukiwa online unachart.

D. Whatsapp inatengeneza services kwenye simu yako ambazo zimekuwa programmed kujirestart pale unapozifunga. Thats y inauwezo wa kuoperate ikiwa background

E. Whatsapp sio safe kama unavyofikiria
 
Last edited by a moderator:
Mbona IPO IMO pic clear kila kitu nipo poa download imo
 
Back
Top Bottom