Nataka kununua simu UK, Naombeni ushauri

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Wadau kuna ndugu yangu anaenda u.k jumatatu, kaniambia ataniletea simu ntayoipenda ila isizidi 450,000/= (172 pounds or 259 us dollarz), simu nayotaka iwe na camera nzuri (13mp and above) processor nzuri (sipendi mediatek) na battery inayokaa at least 15 hours and above, natanguliza maoni

cc Chief-Mkwawa C6 Dreson4 snipa nurbert
 
moto g version ya 2014 ni chaguo zuri lakini haina 13mp bali ina 8mp na sidhani kama battery itafika hayo masaa 15. na kama unamaanisha masaa 15 on screen hakuna simu hio. nakushauri hii sababu ni simu ambayo ina balance nzuri kwenye kila kitu. sema battery yake haitoki ulijue hili.
moto-g-2014-5.JPG

simu nyengine ni huawei ascend mate 2. ina battery kubwa ya 4050mah, processor nzuri ya sd 400, camera 13mp, ram 2gb, camera ya mbele 5mp. inshort kila ulichoandika simu hii inakiweza lakini ni lisimu likubwa inch 6 kioo chake hivyo kama hupend simu kubwa achana nayo. pia inaweza kuzidi kidogo hio bei kutegemeana na duka.
huawei-ascend-mate2-4g-2.jpg

nyengine hizi angalia unaweza pata hio bei.
-huawei honor 4x
-LG Optimus G E975
-xperia t2 ultra
 
hizi simu za xiaomi unazionaje kwa upande wako mkuu
 
Motorola kwa simu za kati wapo vizuri. droid ultra na moto x zitakufaa.
 
moto g version ya 2014 ni chaguo zuri lakini haina 13mp bali ina 8mp na sidhani kama battery itafika hayo masaa 15. na kama unamaanisha masaa 15 on screen hakuna simu hio. nakushauri hii sababu ni simu ambayo ina balance nzuri kwenye kila kitu. sema battery yake haitoki ulijue hili.
moto-g-2014-5.JPG

simu nyengine ni huawei ascend mate 2. ina battery kubwa ya 4050mah, processor nzuri ya sd 400, camera 13mp, ram 2gb, camera ya mbele 5mp. inshort kila ulichoandika simu hii inakiweza lakini ni lisimu likubwa inch 6 kioo chake hivyo kama hupend simu kubwa achana nayo. pia inaweza kuzidi kidogo hio bei kutegemeana na duka.
huawei-ascend-mate2-4g-2.jpg

nyengine hizi angalia unaweza pata hio bei.
-huawei honor 4x
-LG Optimus G E975
-xperia t2 ultra

Nitaipata wapi moto g 2014 naitafuta sana nipo mwanza
 
kwwanini usitafute maduka ya huko kwenu? ukikosa tafuta mtu akuangalizie madukani mitaa ya posta, moto g 2013 zilikuwa zinapatikana sijui hio 2014
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom