Habarini wakuu!
Nitaanza na mfano; upo ofisini unaandika taarifa fulani kwenye Microsoft word,muda umeisha na unatamani sana kumalizia taarifa hiyo kwenye tablet yako,au simu yako lakini huna USB...
Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya...
Wana JF sioni option ya kuweza ku-attach file kwenye email. Natumia simu ina browser Opera mini na pia baidu. Je nifanyeje? File liko kwenye Sd ni la Word
Natumia ya tecno p5 kuna wakat nikichaj inatumia muda mrf kujaa yaan kuanzia masaa 3+ ndio inajaa ila kuna wakat mwngne nikichaj inatumia muda wa kawaida kuwa full.
Ninaomba msaada wenu tatzo...
Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya...
Simu yangu aina ya Samsung imekorofisha.
Nipige picha, nidownload, niende play store nk inaandika memory full wakati ina 8GB built in na 8GB SD card.
Nimefuta kila kitu tatizo lingalipo...
Habarini wakuu,
kuna website ya chuo kimoja cha habari natakiwa ku edit kutokana na matatizo ya design yaliyopo.
Shida niliyonayo ni kuwa sina access ya source code na hakuna uwezekano wa...
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********
Samaani wakuu kama mlisha wahi kuongelea kuhusu hili,ila linanisumbua sana, katika site nyingi ninazotaka kujoin au ku ship online huwa wana niambia niweke Adress yangu na hiki kitu kinaitwa Zip...
nina blog zangu tatu na zote zina matangazo ya adsense nimeamua kuuza moja ambayo ni mpya sijaitumia sana kwa bei chee kabixa mwenye kutaka kunza kufaidika anitafute.....bei ni 120,000 tu...
Kiukweli nimegundua udhaifu uliopo kwa tovuti za serikali kutotoa updates za maana, ni kama hawajui matumizi ya teknolojia ya kisasa.
Wazembe wasiojielewa, story ya 2013 front page? Weka...
Kuna website moja ya nchini US huwa napenda tembelea kwa kutumia simu Yangu.
Tatizo nikitumia PC wana niambia huduma haipatikani kwa watumiaji nje ya US.
Swali langu Je hyo website inawezaje...
Hbr wakuu naomba kuuliza kila siku naona humu watu wakiuliza namna ya ku root simu zao ila mm leo nauliza ku root simu ndo kufanya nn simu yangu ni tecno m3
Habari wakuu
Kwa wanaotumia mtandao wa voda Baada ya kupunguza vifurushi vyao Imekuwa ni ngumu kwa wenye simu za smart4n kuvinjari kwenye mtandao.
Fanya hivi uendelee ku-enjoy kwa 1000 tu.
1...