Hbr wakuu naomba kuuliza kila siku naona humu watu wakiuliza namna ya ku root simu zao ila mm leo nauliza ku root simu ndo kufanya nn simu yangu ni tecno m3

Kabla huja anzisha thread mpya kuwa na mazoea ya kutafuta ndani humu,hilo suala lilishajadiliwa sana humu!
Soma hii link utaweza kufahamu maana halisi ya Rooting, makala imeandikwa katika lugha ya Kiswahili: AFGREENWIRELESS: Nini maana ya Rooting katika Android OS.