double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 570
- 956
Natumia ya tecno p5 kuna wakat nikichaj inatumia muda mrf kujaa yaan kuanzia masaa 3+ ndio inajaa ila kuna wakat mwngne nikichaj inatumia muda wa kawaida kuwa full.
Ninaomba msaada wenu tatzo nini ?
Note:
1) Natumia chaji ya tecno original.
2) Kuna wakat nachaj simu kwny umeme wa jenereta kipind umeme haupo.
Ninaomba msaada wenu tatzo nini ?
Note:
1) Natumia chaji ya tecno original.
2) Kuna wakat nachaj simu kwny umeme wa jenereta kipind umeme haupo.