Ajira za walimu na siri za it gvt

Ajira za walimu na siri za it gvt

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Kiukweli nimegundua udhaifu uliopo kwa tovuti za serikali kutotoa updates za maana, ni kama hawajui matumizi ya teknolojia ya kisasa.

Wazembe wasiojielewa, story ya 2013 front page? Weka archieve !!!

Serikalini, MOEVT na TAMISEMI HAKUNA IT UNIT, UOZO MTUPU
 
Back
Top Bottom