kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,878
Kuna website moja ya nchini US huwa napenda tembelea kwa kutumia simu Yangu.
Tatizo nikitumia PC wana niambia huduma haipatikani kwa watumiaji nje ya US.
Swali langu Je hyo website inawezaje kutambua PC yangu iko nje ya US na kushindwa kujua kua simu yangu haiko US?