Sidhani kama unaweza ku-attach file kwa kutumia simu...ila,kama ms word file linasoma kwenye simu yako then lifungue na jaribu kutafuta option ya send via mail...
Otherwise tumia tablet au pc...
The best choice ndugu yangu ni kujiunga na one drive au google drive.
Wana JF sioni option ya kuweza ku-attach file kwenye email. Natumia simu ina browser Opera mini na pia baidu. Je nifanyeje? File liko kwenye Sd ni la Word