Natakiwa ku-edit hosted site bila source code, naomba ushauri nifanyaje

Natakiwa ku-edit hosted site bila source code, naomba ushauri nifanyaje

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Habarini wakuu,

kuna website ya chuo kimoja cha habari natakiwa ku edit kutokana na matatizo ya design yaliyopo.

Shida niliyonayo ni kuwa sina access ya source code na hakuna uwezekano wa kuipata kutoka kwa coder wa mwanzo dau lao ni dogo nilifikiria kuianza upya naona itanichukua muda mbinu gani wakuu naweza tumia.

natanguliza shukrani.
 
shalet

Unaposema huna access ya source code una maanisha nini? maana kwa uelewa wangu nafahamu kuwa kama hauna access ya source code ni kwamba pia hauna access ya FTP or Cpanel

Kwahiyo hauna option zaidi ya kuomba access au domain transfer to your ownership. Kisha ndio ufikikirie kuhusu whether ufanye upya au u copy the existing one wakati unatengeneza mpya.
 
Last edited by a moderator:
deejaywillzz nimepewa.url tu niangalie ilivyo kweli ina matatizo na inatakiwa kuiweka upya nawezaje transfer domain na kupata access ya cpanrl je nahitaji kum consult jamaa w! mwanzo
shukrani.

NB: sijawahi host site zote nilizowahi fanya niliishia kwenye localhost.
 
Communicate na huyo jamaa aliye register na ku host site yao akupe domain transfer key kisha ufanye transfer kwenye server utakayotumia ku host site.

Kama Imeshindikana kupata mawasiliano inabidi usubiri hadi expiration date au pia unawese kutuma email kwenye abuse@youdomain.com
 
Shida niliyonayo ni kuwa sina access ya source code na hakuna uwezekano wa kuipata kutoka kwa coder wa mwanzo dau lao ni dogo nilifikiria kuianza upya naona itanichukua muda mbinu gani wakuu naweza tumia.
Smells like you have yourself what i'd call a "client from hell".

Kwanza kwa nini hakuna uwezo wa kuipata kutoka kwa designer wa mwanzo? anawadai? Kama wanadaiwa waambie wamlipe na wewe pia hawatakulipa usipoangalia, you need to contact the original designer and become his/her friend.

Pia unaposema dau lao ni dogo inaonesha between you two(you and your clients) either both of you are not serious or one of you is not.

Website sio nyanya na wala sio one-night-stand, Website ni kama ndoa, its a 'til-death-do-us-apart' thing, inahitaji commitment from you and your clients. Clients wanaotaka vitu vya bei rahisi huwa ni wasumbufu kupita maelezo so you have been warned, lipwa advance (at least 50% ) kabla hata haujaanza kazi(this will force them to commit to the project).

By the way there's no way you can do it without the original designer's approval, otherwise you can use a different domain and forget everything about the current site, either way, be careful with these clients.
 
Tumi CMS kiokoa mda

Itaokoa muda ila itazuia brain yako isikue,no creativity,no brainstorminging.Si mbaya kuzijua CMS ila ni vizuri ukijua ku code from scratch mimi mwenyewe niko najifunza Joomla naona hakuna kuumiza kicha.Very easy
 
Smells like you have yourself what i'd call a "client from hell".

Kwanza kwa nini hakuna uwezo wa kuipata kutoka kwa designer wa mwanzo? anawadai? Kama wanadaiwa waambie wamlipe na wewe pia hawatakulipa usipoangalia, you need to contact the original designer and become his/her friend.
Pia unaposema dau lao ni dogo inaonesha between you two(you and your clients) either both of you are not serious or one of you is not.

Website sio nyanya na wala sio one-night-stand, Website ni kama ndoa, its a 'til-death-do-us-apart' thing, inahitaji commitment from you and your clients. Clients wanaotaka vitu vya bei rahisi huwa ni wasumbufu kupita maelezo so you have been warned, lipwa advance (at least 50% ) kabla hata haujaanza kazi(this will force them to commit to the project).

By the way there's no way you can do it without the original designer's approval, otherwise you can use a different domain and forget everything about the current site, either way, be careful with these clients.

designer wa mwanzo aliambiwa url isomeke www.collegename.ac.tz lakini inaonekana ali host kwenye server za bure hivyo kubadili hataki na anapiga chenga ndio wakaniconsult.

site ina page chache kama tano tu kuhusu malipo jamaa yangu ndio aliyenipa hii dili na malipo yapo tayari hata sasa.

nimewasiliana na huyo jamaa ila hajanipa info zakutosha nimepewa username na pwd ila hajanipa details wapi ali host nawasiliana nae polepole.
 
site ina page chache kama tano tu kuhusu malipo jamaa yangu ndio aliyenipa hii dili na malipo yapo tayari hata sasa.

This sounds like deal la mtaani .. Oky Im just gonna give you a hint on that one , You saying site ina kama page tano , So haitakuwa kaz sana , Download HTTrack Website Copier , You can google around what the tool does but for a clue

Quoted from there site :

" It allows you to download a World Wide Web site from the Internet to a local directory, building recursively all directories, getting HTML, images, and other files from the server to your computer "

So doing that you can have the source code uka redisign interface then ukahost kwa server nyingine , remember huwezi pata server side scripts kama huna access to where the site is hosted , so you will have to rewrite all server side scripts if the first site had any
 
Back
Top Bottom