Habari ndugu wa jukwaa hili.
Naomba msaada wa software inayoweza kufungua ms-word document iliyokuwa imefungwa kwa password lakini bahati mbaya password imesahaulika. Nimejaribu kutafuta kwenye mtandao siku nzima sijafanikiwa.
kuna paid version mara ya mwsho kucheck ilikuwa usd 700Ipo free kwenye mtandao?
tumia elcomsoft password recovery bundle forensic or profession eddition.........ukishindwa ntafute 0654262419
Naomba kukuuliza pia naambiwa kunasoftware ya kurecover files kwenye more than five times formated HDD, please help if any
yeah tafuta elcomsoft disc decryptor..............ukishindwa ntafute 0654262419