white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
natanguliza shukrani, nina simu yangu sumsung galaxy 18730, juzi nili badilisha font style, bwana zilikuja herufi hizo, nikajaribu kuirudisha kwenye default font yake,inaendelea kuonyesha ile ile ya awali ambayo niliipata tlka play store, nika unistall lakini bado font ni hiul hiyo, nikichagua font nyingine inakubali kubadilika, ila tatizo nikienda Google, na chrome, bado inaonyesha font zile ambazo hata kusoma maandishi inakuwa ngumu!! ila kwenye opera na mozila inakuwa powa!! tatizo litakuwa wapi jamani. msaada wakuu