Habari wakuu naomba kuuliza nataka kupiga chini window ya pc yangu ila sina program za kuweka baada ya kupiga chini hasa hasa free antivirus naweza zipata site ipi ili nipate set up zake.
pia kuna baadhi ya program nazipenda ila nashindwa namna ya ku extract set up zake plz naomba msaada wenu.
pia kuna baadhi ya program nazipenda ila nashindwa namna ya ku extract set up zake plz naomba msaada wenu.