Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,724
- 104,920
Naomba niwarudishe nyuma kidogo.
Nokia especially Department ya mobile/smartphones imestop kutengeneza smartphones mpya. wengi tumezimiss. hizi cm zimetoka mbali sana toka enzi za n70 na n90 ambazo naamini zilikua unbeatable miaka ya 2005/06,
nokia kapitia operating systems nyingi sana mfn meego symbuan android asha windows etc. ila shida ikaanza alipo join na microsoft 2011na lumia kuanza kuundwa, dah jamaa wamefall vibaya sana hadi kukodisha division ya mobile to microsoft.
swali langu hivi hawa jamaa watarudi? wakirudi sijui watakuja na OS gani? project kama Nokia Morph zitaendelea au?
Mwenye details za Nokia kidg msaada