Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Nimeona watu wengi wakilipia justseed.it,zbigz,bybtex n.k kupata premium accounts kwa ajili ya ku-seed torrent ili ziwe direct downloads.Infact bei nilizozikubali katika hao seeding providers ni hawa justseed.it lkn weakness yao ni kwamba hawatoi option ya ku-zip files kama zbigz.com.
Kitu kilichoni-bore kwa hawa justseed.it ni kwamba bado hawajakaa kibiashara zaidi yaani hawana Customer support hata kidogo,Ni week iliyopita walikula Data za 1TB za mteja wangu ndani ya siku saba,nikatafuta njia ya kuwa contact kuwauliza nikakosa ikabidi niwafungulie Case/dispute kwenye paypal na wakarudisha hela yangu lakini wakasema ngoja tukufanyie mbaya,wameni BAN nisifanye malipo na paypal account yangu...Kila nikijaribu naambiwa "We no longer accept payment from You" kusoma mkasa mzima Tembelea hapa kwenye forums zao
SUPPORT TICKETS - forum.justseed.it
Nikasema isiwe tabu najua kwa kuwa huduma yao iko cheap wameamua kunikomoa wakijua sitopata pengine huduma kama hii,Fortunately huwa nina server yangu ya Linux i.e a VPS ambayo inauwezo mzuri kwa matuizi ya kawaida na huwa naitumia kama HTTP(s) Proxy server nikasema kwa nn nisitengeneze Seeding server yangu niondokane na hawa washamba wa justseed.it
To cut the story short niewaleteeni Seeding server yangu ya kizushi hapa kama kuna wataalamu watanisaidia kurekebisha baadhi ya vitu na kuiboresha kwa kutoa reviews na feedback kwa perfomance ya server hii na mwisho wa hii thread ntatoa configuration yangu ili kama kuna nyongeza naweza fanya niweze kurekebisha
Jinsi ya kutumia
Tembelea http://62.4.13.2:9091/transmission/web/
jaza authentication details kama nilivotaja pale awali kisha Upload kama picha ioneshavyo
Kabla ya ku-upload torrent iangalia kama kuna mwenzako kashai-upload hapa http://62.4.13.2/downloads/
Ukimaliza waweza select torrent yako na ku-delete
Speed ya ku-seed nafikiri niyakuridhisha japo itakubidi kusubiri kidogo baada ya ku-upload file
Na speed ya ku-download kutoka kwenye server iko poa sana tu
Unfortunately JF hai-support file format ya .json file itabidi nili Upload site nyingine
https://anonfiles.com/file/5b0cd57a7248b819714ad5e37d149da9
Your contributions and feedback are welcome:cool2:
SHARING IS CARING

Server yenyewe unaweza kutebelea hapa http://62.4.13.2:9091/
Itakudai authenitcation utajaza usernem=wamavoko pswd:transmission
Na uta upload torrents zako kwenye hiyo transmission Gui ili kuzipata downloads utaenda
http://62.4.13.2/downloads/
Server hainauwezo wa kuzip kama justseed.it kaa mwenye knowledge yaa kuweka hii functionality ntaoba ujuzi