design a standalone computer app to keep track of audio visual items taken from it help desk. the system should be able to identify who take what and when taken and returned. the system should...
Wakata najiunga na jf mwanzoni mwa 2013 nilikuwa nimejisajili kwa jina zawad, nilipost vitu vingi tu na nilshauriwa kwa kiasi kikubwa pale nilipokwama kama miezi 10 hivi, ikafika kipindi...
Kama nilivoeleza hapo kwenye title kama wewe ni mtumiaji wa computer na unapenda kujifunza au kujiendeleza zaidi katika proffesional nilizotaja, bofya link ifuatayo afu chagua folder la taaluma...
Jamaa kaja shop hapa kununua chaja, kanipa simu yake nimtestie kama chaja inafanya kazi, mara nikawa najiona kwenye screen ya simu nikajua labda simu iko kwenye camera! Kumbe ile simu lock yake ni...
Kiufupi ni kwamba nina gari ambayo navigation system ilitolewa battery wakati iliposafirishwa, sasa ukiiwasha inakwambia 'Insert Navigation Map dics' nimeingia mtandaoni nikakutana na solution ya...
Naombeni kuelekezwa jamani sijui hili tatizo ni kwangu tu au kwa wote tokea jana mimi kila nikijiunga kifurushi cha 200MB zinaishia haraka isivyo kawaida!
Hapo natumia simu na line ni ya tigo...
Wapenzi wa masuala ya teknologia bila shaka mtaipenda animation hii inayoelezea jinsi 'Lithographic Printing' inavyofanya kazi.
https://m.youtube.com/watch?v=pNZb7CXUjs0
Wadau natumia samsung galaxy s3 ambayo internal memory ni 16gb ila sasa hv nikiangalia naona internal ni 11.23gb, hapa nimeshindwa kuelewa hizo zingine ziko wapi then space imekuwa ikiisha mara...
Nawasilisha msaada wakuu
Wanajf hivi hakuna uwezekano wa application za android kurun ndan app moja kama ilivyo kwa android apps zinavyofanya kazi kwenye kompyuta kwa kutumia app Moja...
Kuna taa rangi ya bluu inawaka kweny batan imeandikwa ''scroll'' kwenye kisanduk ''num lk''
imesababisha batan zenye herufi zaid y 1 kuandika herufi za juu tu,
naomba msaada kutatua tattizo...
heshma yenu wakuu,naombeni kujuzwa kuhusu blogs,jinsi ya kumiliki nakuoparete na malipo yake unapataje na kwamda gan maana napenda sana kumliki blog ya kunipatia chotote coz naiman ntaweza kuvuta...
Wakuu nilikuwa nahitaji hiyo tool kwaajili ya kazi mbali mbali za ku unlock phones sasa kwa hapa Tanzania naweza ipataje hii Box?
Noamba kujulishwa bei yake (Tz sh) pia na mahali naweza kuinunua...
Nimefanya quotations kibao za bei ya kioo cha HTC one x, nimepata kizunguzungu kwa bei ninazotajiwa. Kuna wanaonitajia kuwa complete 130-150k na wengine wanasema 50-80k, sasa nashindwa kuelewa...
Wakuu naombeni mtu mwenye utaalamu wa coding kwenye VBA anisaidie jambo,nimejaribu ku attach file hapa nimeshindwa,ni word document na excel-macros enabled document.Kwa atakaekuwa tayari naweza...
Habar wadau,mimi ni mgeni ktk matumizi haya ya simu za android,ni juzi tu nimenunua kaSamsung galaxy S5..naomba kujuzwa namna ya kuweka namba ktk black list...natanguliza shukran.
MFUMO HUU WA UMEME UTAKUONGEZEA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO
Lengo la mfanya biashara yeyote ni kupata faida,lakini inapo tokea kuna sababu zozote zinakwamisha kufikiwa kwa lengo hilo...
it is good to see how the world of science and technology make easy for us to enjoy our life.
there are plenty of ways of making money online by doing simple tasks. lucky for the advancement of...