Kiufupi ni kwamba nina gari ambayo navigation system ilitolewa battery wakati iliposafirishwa, sasa ukiiwasha inakwambia 'Insert Navigation Map dics' nimeingia mtandaoni nikakutana na solution ya kufanya configuration. Shida ni namna ya ku-extract .kwi files sina program ya kufanya hiyo kazi. Au kama nitapata program ya navigation sio mbaya pia model ni nddn-w56. Shukrani