Electromagnetism
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 482
- 127
Napata ugumu kuelewa hii concept nini maana ya 50hertz yani 50 cycles per second yani ni mzunguko wa turbine mara 50 per second au ni nini?

asante mkuuInategemea unaongelea frequency ya kitu gani, kama ni turbine mfano wind turbine basi 50hz maana yake ile turbine inazunguka mara 50 kwa sekunde moja...
Kama ni ya camera maana yake inapiga picha 50 haraka haraka kwa sekunde moja (kwenye camera kwa lugha nyingine wanaita fps(frames per second))....
Kama ni kwenye monitor ya computer maana yake inadisplay picha 50 kwa sekunde moja...
Kama unaongelea electricity basi 50Hertz ni oscillations 50 za current kwa sekunde moja.... na mengine meeeeengi!! frequency ipo kwenye kila object hata mwili wako. For as long as kitu kina energy basi kina frequency flani pia.
kwenye umeme mkuuUmeiona wapi hiyo? Ina applications nyingi mno.
Inategemea unaongelea frequency ya kitu gani, kama ni turbine mfano wind turbine basi 50hz maana yake ile turbine inazunguka mara 50 kwa sekunde moja...
Kama ni ya camera maana yake inapiga picha 50 haraka haraka kwa sekunde moja (kwenye camera kwa lugha nyingine wanaita fps(frames per second))....
Kama ni kwenye monitor ya computer maana yake inadisplay picha 50 kwa sekunde moja...
Kama unaongelea electricity basi 50Hertz ni oscillations 50 za current kwa sekunde moja.... na mengine meeeeengi!! frequency ipo kwenye kila object hata mwili wako. For as long as kitu kina energy basi kina frequency flani pia.
kwenye umeme mkuu