integral sign
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 160
- 13
Nimefanya quotations kibao za bei ya kioo cha HTC one x, nimepata kizunguzungu kwa bei ninazotajiwa. Kuna wanaonitajia kuwa complete 130-150k na wengine wanasema 50-80k, sasa nashindwa kuelewa kuna vingine ni feki au ndo watu kutaka faida kubwa. Kwani cjaona mtu akizama ktk bei ya hapo katikati na ni zaidi ya watu 10. Wataalamu nisaidieni wazee,