msaada kuhusu blogs

msaada kuhusu blogs

jamiimemba

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
156
Reaction score
39
heshma yenu wakuu,naombeni kujuzwa kuhusu blogs,jinsi ya kumiliki nakuoparete na malipo yake unapataje na kwamda gan maana napenda sana kumliki blog ya kunipatia chotote coz naiman ntaweza kuvuta watu mana najiona mi ni creative kdogo,asanten wakuu
 
aina gan ya blog unayotaka kuwa nayo,as an informer,as receiver of information,as receiver and informer,as discussion forum kama JF,fikiria kwanza kwa hilo kwanza halafu uje utueleze unataka kuwa katika category gan na tukupe advantage zake
 
why ufungue blog upate hela?

ukifanya hivyo utafanya lolote ilimradi upate hela mwisho wa siku utaishia copy and paste na kusingizia watu tu na mambo yasiyofaa katika jamii.

fungua blog ya kitu unachokipenda ipe muda mezi 6 hadi miaka 2 watu wanaopenda kitu kama chako watakua wanatembelea hio blog then pesa zitakuja zenyewe automatic
 
Ndoo mana Tz hatuendelei kabisa shauri ya kuiga fanya kitu unapenda pesa zinakuja tu mzee alafu ukumbuke hakuna kitu unachokifanya hakina changomoto ilo ujue kabisaa na mapema sikutishi ila nakuambia tu
 
dah mkuu,npo empty kwenye hyo kitu hata cjazijua hzo aina? ila najua kuna blog,website,etc ila cjajua ipi ndo inakupa hela
 
Ndoo mana Tz hatuendelei kabisa shauri ya kuiga fanya kitu unapenda pesa zinakuja tu mzee alafu ukumbuke hakuna kitu unachokifanya hakina changomoto ilo ujue kabisaa na mapema sikutishi ila nakuambia tu

ndio mkuu, ila ukiwa mjasiliamali ni lazima u take risk au risk taker
 
why ufungue blog upate hela?

ukifanya hivyo utafanya lolote ilimradi upate hela mwisho wa siku utaishia copy and paste na kusingizia watu tu na mambo yasiyofaa katika jamii.

fungua blog ya kitu unachokipenda ipe muda mezi 6 hadi miaka 2 watu wanaopenda kitu kama chako watakua wanatembelea hio blog then pesa zitakuja zenyewe automatic

ndio maana nimekuja kwenu ili nijuzwe zaid
 
ndio mkuu, ila ukiwa mjasiliamali ni lazima u take risk au risk taker
mkuu risk inachululiwa kwa vitu unavyopenda lakin sio kufanya kwa kuona fulana aliwekeza huo ni ulimbukeni fanya unachopenda wekeza utafanikiwa lakin kuna principle pia iko hivi

There are two kind of people in the world; one who just do hard work, and the other who do Hard work + smart work. Success comes to the people who finds a balance between hard work and smart work.
 
Back
Top Bottom