Maajabu ya Application ya ku-lock simu kwa kutumia sura

Maajabu ya Application ya ku-lock simu kwa kutumia sura

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,513
Reaction score
8,276
Jamaa kaja shop hapa kununua chaja, kanipa simu yake nimtestie kama chaja inafanya kazi, mara nikawa najiona kwenye screen ya simu nikajua labda simu iko kwenye camera! Kumbe ile simu lock yake ni ya kutumia sura ya mtu.

Je ile ni app ama ndo simu ilivyo?

Naomba kujuzwa.
 
Jamaa kaja shop hapa kununua chaja, kanipa simu yake nimtestie kama chaja inafanya kazi, mara nikawa najiona kwenye screen ya simu nikajua labda simu iko kwenye camera! Kumbe ile simu lock yake ni ya kutumia sura ya mtu, je ile ni app ama ndo simu ilivyo? Naomba kujuzwa

Ni feature ya kawaida sana tena sana, iliakwepo toka kwenye symbian miaka ile.

Facelock000443.jpg

Android waliadd kwenye ice cream sandwitch.

Screenshot_2012-03-27-19-47-19.png

Lakini kuna application pia zipo unaeza download zikafanya kazi kama hiyo. Mfano
FaceLock

Screenshot_2012-03-27-19-39-50.png
 
Je! kwenye iphone yangu nawezafanya ivo?
 
Je kwenye iphone yangu nawezafanya ivo?

Yea kuna application kama FaceVault inaeza fanya ivyo, zipo na baadhi kama Appellancy na RecognizeMe ila zinataka jailbroken phone.
Tunatumia application kama hizi kwa SIFA tu kitaa kwasabu ata mtoto anaeza unlock.
 
Hizo zote nasearch app store lakin hazipo
 
Hizo zote nasearch app store lakin hazipo

Situmii iOS for now, so can't validate i've used to secure my sis jailbroken iphone 4 with RecognizME on cydia.
 
cc: CHIEF MKWAWA.. pia wote mmejibu vizuri wakuu hata mimi sikufahamu hayo..
 
Last edited by a moderator:
Jamaa kaja shop hapa kununua chaja, kanipa simu yake nimtestie kama chaja inafanya kazi, mara nikawa najiona kwenye screen ya simu nikajua labda simu iko kwenye camera! Kumbe ile simu lock yake ni ya kutumia sura ya mtu, je ile ni app ama ndo simu ilivyo? Naomba kujuzwa

Jaribu hivi nenda kwenye SETTING > SECURITY> SCREEN LOCK> FACE UNLOCK utafuata maelekezi.
 
Back
Top Bottom