Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,651
- 3,822
Wadau natumia samsung galaxy s3 ambayo internal memory ni 16gb ila sasa hv nikiangalia naona internal ni 11.23gb, hapa nimeshindwa kuelewa hizo zingine ziko wapi then space imekuwa ikiisha mara kwa mara kuna wakati nlifuta vitu kukawa na km mb 700 free space ila ss hv zimebaki 200 na media contents nying huwa nazifuta.
Kwa wajuzi em naombeni msaada hapa
Kwa wajuzi em naombeni msaada hapa