duh. mtoto kazaliwa na kuanza riadha.
mkuu fuata hizi process:
1. fungua phone app
2. Go to Logs
3. A list ya recent calls will be
displayed, tap and on a number you want to block
4. Tap Add to reject list
5. Tap Ok
download easy blocker iko poa sana hata kama unamichepuko hutaweza kushikwa