Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nataka kuanzisha internet TV station, Je! Naitaji niwe na software gani au nitumie njia gani kuwafikia watazamaji?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
HAbari wana jamvi,mwenzenu nimeibiwa sim na vibaka wale wakuloa sim wakati wa usiku nikiwa ni melala sim haina hata wiki mbili nilitaka kujua kama naweza kuitrace kwa kutumia IME...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari jf,naomba mnisaidie software au codes za kuweza kuona sms,calls,location za mtu mwingine kwa kutumia laptop ili niinstall kwenye laptop.
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Wakuu niliwahi kuwa na game ya DRAFT kwa Laptop yangu ila kwa bahati mbaya nikaifuta lakini site ninoingia nashindwa kuidownload tena kwa pc yangu, je kuna yeyote humu ndani mwenye kuwa nayo humu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna simu flani hivi kubwa zinA chata ya Apple like iphone hivi hizi zinaitwaje??
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Simu HUAWEI Y511-U30: Naomba msaada Network ya Mtandao wa Tigo imepotea tangu jana imeweka alama ya ''X''. Siwezi kufanya chochote kupitia mtandao wa Tigo. NIFANYEJE Experts
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa na CD ya drivers za Dell inspiron n5050 sasa kwa bahati mbaya imeharibika. Naomba msaada ni vipi naweza kudownload drivers za dell inspiron n5050? Haza VGA drivers na zile za ku- unzip...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naombwa kufahamishwa njia za kuunlock phone kwa kutumia imei msaada
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Jamani kwenye laptop (DELL D620) yangu sehemu ya betri kuna sehemu kama ya kuweka line, ila nikiweka line haionyeshi kitu chochote, naomba msaada kwa mwenye ufahamu. Hii sehemu ni kwa matumizi gani?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
How to Take Good Care of Your Laptop Computer...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
habari ndugu wana jf naombeni msaada jinsi kubadarisha kutoka slimkat ROM kwenda cyanogenmod
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Msaada jinsi ya Ku convert multiple PDF docs into one PDF file
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini za Kazi wakuu. Nina Simu aina Ya Samsung Galaxy Grand 2 ambayo Kila nikijaribu kui'root inashindikana. Naomba Yeyote mwenye uelewa anisaidie japo maelekezo Ya jinsi Ya kufanikisha hili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
disa unaipata hapa : https://play.google.com/store/apps/details?id=com.disa hii program badili ya OGWhatsap na inafanya kazi vizuri sana just ukisha maliza kuinstall ingia add service then...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Nina king'amuzi cha technosat na fta dish la ft 6 , ni muda nimekuwa nikizipata hizo channel hata zikipotea ni muda mfupi signals zinarudi. Ila kwa sasa nina wiki 3 sizipati...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naombeni ushauri wenu Tafadhari. Simu niliitumia miezi kadhaa. Siku moja nikiwa safarini ilizima ghafra. Sijafanikiwa kuiwasha Tena. Ukiwasha inaandika TECNO kisha inabaki hivyo hivyo.Mmoja kati...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
  • Closed
Nahitaji nikiwa JF naperuzi nione members wengine walio online, sio kibubu bubu tu. Kote nimeona hii feature kasoro JF, je ni kwamba bado JF haijafikia hiyo technology?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanajamvi anvirus gani ni nzuri kuweka kwenye simu za android.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Samahanini wanajamvi natafuta equavalent transistor tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kuelekezwa namna ya kuistall costom rom ya kitkat kama haitakuwa ya lollipop, kama nilivyosema hapo katika kichwa cha habari katika hatua ya kwanza ya kuroot nimefanikiwa nimetumia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom