Msaada channel za ITV , Capital, EATV, Star TV na TBC

jojejo

Member
Apr 19, 2011
50
14
Wakuu habari zenu.

Nina king'amuzi cha technosat na fta dish la ft 6 , ni muda nimekuwa nikizipata hizo channel hata zikipotea ni muda mfupi signals zinarudi.
Ila kwa sasa nina wiki 3 sizipati.

Nimetembelea lyngsat kucheki mabadiliko ya frequencies naona zipo vilevile.
Fta channel zingine kama channel 10 zinashika vizuri.
Nimebadili satellite na kusearch kwa upya bado sizikamati.
Wataalam nisaidieni.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom