Jinsi ya kubadilisha Custom rom

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
habari ndugu wana jf naombeni msaada jinsi kubadarisha kutoka slimkat ROM kwenda cyanogenmod
 
habari ndugu wana jf naombeni msaada jinsi kubadarisha kutoka slimkat ROM kwenda cyanogenmod

Kwanza root cm yake zen flash custom recovery kama CWM au TWRP zen backup rom yako ili incase iyo rom mpya itakayo install isifeli asa baada ya kufanya backup ingia Google tafut iyo rom unayoitaka na model ya cm yako
 
Mbona hata hujataja aina ya simu unayotumia?? Yaani phone model.

Natumia huawei y300 ila niliinunua ikiwa rooted na pia ikiwa na slimkatrom but mi napenda niwe na cyanogenmod lakini cjui pa kuanzia
Asante
 
Kwanza root cm yake zen flash custom recovery kama CWM au TWRP zen backup rom yako ili incase iyo rom mpya itakayo install isifeli asa baada ya kufanya backup ingia Google tafut iyo rom unayoitaka na model ya cm yako

Mkuu simu tayari ipo rooted na ina slimkat rom lakini nataka niweke cyanogenmod
Asante
 
Kwanza root cm yake zen flash custom recovery kama CWM au TWRP zen backup rom yako ili incase iyo rom mpya itakayo install isifeli asa baada ya kufanya backup ingia Google tafut iyo rom unayoitaka na model ya cm yako

mkuu ni lazima utumie computer kuweka customrom?? mi natumia y300-0151 nimeiroot na ni custom rom gani itakuwa suite?
 
Natumia huawei y300 ila niliinunua ikiwa rooted na pia ikiwa na slimkatrom but mi napenda niwe na cyanogenmod lakini cjui pa kuanzia
Asante

unatakiwa ujifunze kuingia recovery kwanza

zima simu washa huku umeshikilia cha kuwashia simu na volume up.

ikiingia recovery angalia ipo mfumo wa list au wa grid(mabox)

ulichokiona leta mrejesho utasaidiwa step za mbele
 
kwenye recovery ipo mfumo wa grid
 
kwenye recovery ipo mfumo wa grid

Kama hii
twrp-recovery-294x500.jpg

Download custom rom ya simu yako halafu eka kwenye folder unalolikumbuka mfano alarm

Ingia recovery then wipe simu ufute vitu vyote halafu nenda hapo install then kwenye sdcard chagua lile folder ambalo ulieka rom.

Sijawahi tumia hii twrp ila nafkiri inafanyaka kazi sawa na cwm rom uliyodownload itabidi iwe mfumo wa zip.

Pia mara nyingi cyanogen haina apps za google hivyo nazo ukimaliza kueka rom uzieke app za google. Zipo kwenye site ya cyanogen
 
Chief-Mkwawa natumia Lg lu6200 Korea version.. ninapotaka kuingia kwenye recovery mode kwa press and hold power+volume down hainipi maekekezi yoyote zaidi ya kapicha flani ivi kanadisplay
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Raaj Unatakiwa kutambua kwamba Cyanogenmod haipatikani kwa kila simu au model.. tena kwa Huawei ndo chache sana zinazokuwa supported kutokana na ugumu wa ku-unlock bootloader ya simu za huawei na kingine Huawei wamejikita kwenye Kirin Chipest (HiSilicon) wakati Cyanogenmod team wanapendelea Qualcomm chipest.. Kwa hiyo ili kujua kama simu yako itapata Cyanogenmod nenda hapa kucheki device yako kama ipo listed.. http://wiki.cyanogenmod.org/w/Devices
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom