Msaada simu Huawei Y511: Network ya Mtandao wa Tigo imepotea

Msaada simu Huawei Y511: Network ya Mtandao wa Tigo imepotea

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,061
Simu HUAWEI Y511-U30: Naomba msaada Network ya Mtandao wa Tigo imepotea tangu jana imeweka alama ya ''X''. Siwezi kufanya chochote kupitia mtandao wa Tigo. NIFANYEJE Experts
 
Angalia kwenye Network Operators, then badili kwenda manual, baada ya hapo itascan ikija tiGo (Mobitel) chagua hiyo..
 
Thanx problem solved. Line ilikuwa ime-expire, nime-renew
 
Back
Top Bottom