Nilikuwa na CD ya drivers za Dell inspiron n5050 sasa kwa bahati mbaya imeharibika. Naomba msaada ni vipi naweza kudownload drivers za dell inspiron n5050? Haza VGA drivers na zile za ku- unzip Bluetooth. Naomba msaada Tafadhali!
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Natanguliza shukrani zangu kwenu