Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF. Nilikua naombwa kufahamishwa nawezaje kujua specifications za simu katika kuikagua simu husika bila kuamua kuisearch ktk net au kuangalia box lake. Mara nyingi naenda katik...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Niko kwenye harakati za kutengeneza Application ya Simu itakayowezesha Madereva kujua njia ambazo ziko congested na kuweza kutumia njia Mbadala. Mfano: Utaweza ku-interract na watu ambao wako...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kutokana Na sababu ambazo sijaweza kuzifahamu inatokea kwamba tunaotumia windows phones tunapata wakati mgumu katika kutuma nyimbo "audio files" kupitia whatsapp. Sasa twende kwa pamoja...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba msaada wana jf kabla sijaenda kwa mafundi,tafadhali
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanajf kama ulikuwa hujapata habari hii! basi hapa panakuhusu sana,ogwatsapp inapatikana kwa wale mlioimiss kwa muda tangu na ambao hamkufurahishwa na ujio wa WhatsFapp basi karibu urudi enzi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Ndani ya miaka sita ijayo engineering ipi itakua katika soko?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
za asubuhi wadau polen na majukumu hebu ninaomba msaada kwa niaba ya wengine pia jinsi gani unaweza kuzuia adds zisitokee wakati unaperuzi mtandaon na hata ukishadownload baadh ya apps zinakuja na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu, naweza vip kuzuia pop up zinazojifungua pindi nikiingia kwenye websites mbalimbali? kwa mfanohii hapa ilojitokeza nkia hapahapa jf nb natumia windows 8
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wana jukwaa? screen yangu SANSAN inawaka vizuri lakin haioneshi picha,inatoa audio tu nikiunganisha na king'amuzi.inaonesha si kitu kikubwa kimepata hitilafu,naomba mwenye ujuzi na tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata PS 4 hivi karibuni. Napata shida kucheza kila kitu kinahitaj ni connect online nina CD mbili lakin nashindwa kuzicheza zote zinasema Connect to internet/log in to PSN. Msaada wenu hapo...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi. Jana usiku nikaunga tena...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF naomba kwa anayejua tofauti ya hizi simu mbali na matumizi ya SIM card anisaidie kwani mm naona zipo sawa kila kitu
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Naomba mwenye kujua frequecy mpya za channel ten anisaidie. Haipatikani, nasikia wamebadilisha frequency!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
microsoft leo wamezindua surface 3 ambayo itakuwa ni tablet dada wa surface pro 3, tablet hii inayorun full windows itakua na bei afadhali kidogo kulinganisha na dada yake surface pro 3...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
OGwhatsapp n nin jaman nitoen ushamba
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Ninahitaji Toshiba Satellite U505, Duo Core Intel processor, 4GB RAM, 500GB HDD, WIFI, etc ,mpya, iliyotumika au mbovu. Mwenye nayo anijuze. Bei itategemea na hali yake.
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Baada ya pita pita zangu katika forum yetu ya Tech, Gadgets & Science nimeona kuna jamaa yangu kajaribu kuelezea faida na hasara za Windows phone. Nami naomba nielezee faida nilizoziona kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Software ya OGwhatsApp naona wadau imebuma tena. Sasa sijajua ni kwangu au ni kwa wenzangu. Iliwahi kuwekwa hapa jukwaani Utatuzi wa ya mwanzo ilipokuwa inahitaji update, na kuna mdau mmoja...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanajamii wenzangu.... Nina Samsung galaxy S4...tatizo la hii simu ni kwamba kila nikiingia youtube kutazama videos.....nakutana na video zikiwa hazina ubora kabisa na vivuli karibia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani naombeni kujuzwa bei ya Nokia lumia 435 na je zimefika bongo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…