OGwhatsApp imebuma tena

OGwhatsApp imebuma tena

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Software ya OGwhatsApp naona wadau imebuma tena.
Sasa sijajua ni kwangu au ni kwa wenzangu. Iliwahi kuwekwa hapa
jukwaani Utatuzi wa ya mwanzo ilipokuwa inahitaji update, na kuna
mdau mmoja akatuwekea ambayo ipo sawa lakini nayo imeleta tatizo kama
la mwanzo la kutaka update.
Naomba msaada wadau
 
Subiri uchakachuzi uko kwenye karakana wewe subiri tu. Its a rat and cat game.
 
Mbona kwangu ipo sawa tu?

Nani anatumia pia ENWhatsapp na SAWhatsapp?
 
Tumia sawhatsapp na enwhatsapp, kama una line 4 zote unaweza ukaziweka kwa simu 1 na zikafanya kazi zote
 
wakuu wanao ulizia OGWhatsap hakuna kwa sasa imestop ila kuna wale walio weka toka zamani kuna version fulan bado inafanya kazi ila na huyo mtu aki unstall tu basi hawezi kurudisha tena au hata mtu akikopy hio verson toka kwa mtu basi hawezi kuitumia katika simu yake inabidi tusubiri kidogo tutapata update. kwa sasa tumieni ENWhatsap tu.
 
Msaada wakuu nilikua na instal hio whatsap imenambia incorrect date sasa nafanyaje
 
Hivi hizo CNWhatsapp etc zinatumika pia kweye simu inayotumi whatsapp+? maana mimi ya kwangu inatumia whatsapp+ na sijawahi kupigwa ban?
 
wakuu wanao ulizia OGWhatsap hakuna kwa sasa imestop ila kuna wale walio weka toka zamani kuna version fulan bado inafanya kazi ila na huyo mtu aki unstall tu basi hawezi kurudisha tena au hata mtu akikopy hio verson toka kwa mtu basi hawezi kuitumia katika simu yake inabidi tusubiri kidogo tutapata update. kwa sasa tumieni ENWhatsap tu.
Mkuu nimedownload Enwhatsapp but nikitaka kujisajili yani tayari nimeshaandika namba ina leta ivi uploadfromtaptalk1428658092919.pngsasa nifanyeje ?
 
Kaka enwhatsap ....
Kwanza kabisa lazima u download whatsap orignal halafu uchat na mtu kidogo halafu fanya backup.
Kisha ifute hio whatsap orignal.
Nenda ktk myfile tafuta folder whatsap ibadili hivi ENWhatsApp.....angalia captial A na mwanza ENW ni capital halafu ndio ushushe enw weka namba
 
Hivi hizo CNWhatsapp etc zinatumika pia kweye simu inayotumi whatsapp+? maana mimi ya kwangu inatumia whatsapp+ na sijawahi kupigwa ban?

Bilashaka mkuu, maana mimi nina whatsapp ya kawaida na hizo zingine zote natumia pia
 
msaada kuiweka hii inaniambia nibadil tarehe ya simu

Angalia kama kweli tr haipo sawa. kama ipo sawa basi huenda hiyo version ya whatsapp ime-expire. Nashauri watu mfanye backup kabla ya kuanza kufunga app mpya.

Kwahiyo OGwhatsapp niliyo-attach ni update ya mwisho waliyofanya march 2015, una-update tu OGWhatsapp app iliyokuwepo kabla
 
wakuu wanao ulizia OGWhatsap hakuna kwa sasa imestop ila kuna wale walio weka toka zamani kuna version fulan bado inafanya kazi ila na huyo mtu aki unstall tu basi hawezi kurudisha tena au hata mtu akikopy hio verson toka kwa mtu basi hawezi kuitumia katika simu yake inabidi tusubiri kidogo tutapata update. kwa sasa tumieni ENWhatsap tu.

Kama uli-update march 2015 basi inatakiwa iendelee kufanya kazi. Sielewi upande wenu, bali kwangu inapiga mzigo kama kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom