Pole bro. Cjui unatumia browser gani (yaani Internet Explorer, Mozilla, ama...). Hizi browsers huwa zina option za pop-up blocker (simple). Mara nyingine utakuta browser yako ilitekwa wakati umedownload kitu, ikainstall. Nyingi ni auto-runs afu zinabadili hata homepage yako na search engine yako ya kawaida. Angalia kwenye 'add-ons' ya browser yako na pia kwenye programs installed. Ka hutaki utafiti na usumbufu, download MALWARE BYTES, install afu scan. Itasaidia. Jah guide.