Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,393
microsoft leo wamezindua surface 3 ambayo itakuwa ni tablet dada wa surface pro 3, tablet hii inayorun full windows itakua na bei afadhali kidogo kulinganisha na dada yake surface pro 3.
tablet hii itakuwa na uwezo wa kutumia keyboard na kuwa kama laptop na vile vile unaweza kutumia kalamu. ina specification hizi
1. processor yake ni intel atom x8700 yenye 1.6ghz na turbo speed hai 2.4ghz
2. utachagua ram 2gb au 4gb
3. storage 64gb au 128gb
4. kioo ni full hd inch 11
5. battery inayokaa masaa 10
6. usb port 2 na port ndogo ya hdmi
7.camera nyuma 8mp na mbele 3.5mp
bei ni
-dola 500 (shilingi 930,000) kwa version ya 2gb ram na storage 64gb
-dola 600 (shilingi 1,100,000) kwa 4gb ram, storage 128gb na 4g (inaingia line)
je unafkiri kwa bei hizi microsoft ataweza kuchallenge mauzo ya ipad?