Nitawezaje kukagua specifications za Android?

Nitawezaje kukagua specifications za Android?

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wana JF.

Nilikua naombwa kufahamishwa nawezaje kujua specifications za simu katika kuikagua simu husika bila kuamua kuisearch ktk net au kuangalia box lake.

Mara nyingi naenda katik settings halafu about phone.. hapo utaona android version na other parameters lakini huwezi kujua mp za camera au ram..au ukienda storage utaona capacity ya storage ya simu.
 
Tumia app inaitwa cpu-z ndio ultimate tool ya ku-extract specs
 
thanks..namaanisha ukiwa dukani and you want to know the specs ya hiyo simu..
 
thanks chief..that is what i wanted to know..
 
Back
Top Bottom