za asubuhi wadau polen na majukumu hebu ninaomba msaada kwa niaba ya wengine pia jinsi gani unaweza kuzuia adds zisitokee wakati unaperuzi mtandaon na hata ukishadownload baadh ya apps zinakuja na adds,hebu tusaidiane kidogo hapa.
ndugu cjui kuroot ila nataka kufanya hilo suala sijui utanisaidiaje ndugu,hebu fanya kitu tafadhali
Simu gani unatumia
Nunua application upewe isiyo na ads
app gani
natumia maxon X3
ko root kuna hasara zake pia simu inaweza ikazima ikafariki dunia
ikifa unaifufua tu