habari wakuu, natumia samsung galaxy tab..kuna mtu alichezea pattern mara nying na kusababisha simu kujifunga kwa kutaka gmail, nilikuw nimesahau password za gmail hivyo nikaamua kuireboot...
Wakuu msaada-nina external h.d yangu- one tb.transcend imegoma kusoma.inawaka lakini haiendelei zaid ya hapo-nahisi kuna mtu atakuwa ameidondosha maana niliiacha nyumbani na kulikuwa na movies...
Msaada jamani, nilikuwa nataka kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Computer Science kwa hapa bongo katika chuo chochote kinacho tambulika lakini elimu yangu ni kidato cha nne. Je, kuna sehemu...
Wadau wote wa technolojia nawakaribisha katika wazo hili ambalo nimeanza kulifanyia kazi.
Tayari nimesha design circut za mikono miguu pamoja na sehemu za maungio. Binadamu huyu kwa kuanzia...
Programu ya kiswahili inayokuwezesha ku-control computer yako kwa kutumia simu yako ya android au computer nyingine.
Jiandae kununua copy yako kwa Tsh 25,000/=
Ni rahisi kutumia na ina...
kwa wale wanatimia r sim9 au gevey kwa lugha moja znaotwa transponder, katika iphone ambazo ni carrier locked walipata tatizo la kukosa 3g na kushindwa kutuma sms pale walipo update devices zao...
Msaada wakuu application nzuri ambayo naweza kutumia kudesign vitu kama mabango nje ya adobe. Simple app ambayo haina complication kama adobe photoshop.
Salam wapendwa!!!
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona tangazo kwenye Pc yangu likinielekeza kuwa ninaweza kufanya upgrade ya OS yangu kutoka Windows 8.1 hadi Windows 10 ambayo si trial version...
An unmanned SpaceX rocket carrying supplies and a first-of-its-kind docking port to the International Space Station broke apart Sunday shortly after liftoff. It was a severe blow to NASA, still...
Wakuu naombeni msaada nimeamka asubuhi ya Leo kila nikijaribu kupiga simu na kutuma message simu inakataa but naweza kupokea simu na message, nn tatizo?
Salaam wana jamvi..
Ni hivi nimeangusha battery ya simu tajwa kwenye gari, nilikua naomba kujua kama naweza kupata battery original za Tecno H6 Madukani
Msaada Tafadhari..
Habari wakuu.
Naomba msaada wa kiufundi/ushauri, simu yangu (Samsung S4) imegoma kupokea chaji.
Wiki mbili nyuma ilikuwa inatumia muda mrefu isivyo kawaida kuchaji!
Nimejaribu kubadilisha adapta...
Kwa mfano nimetengeneza static html website yenye page kadhaa.sasa nahitaji kuweka search box homepage,ili mtu aki search kitu impe results kutoka katika zile page zote za hiyo website...msaada...