Rabbi Faz Chover
Member
- Dec 25, 2013
- 59
- 2
Salam wapendwa!!!
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona tangazo kwenye Pc yangu likinielekeza kuwa ninaweza kufanya upgrade ya OS yangu kutoka Windows 8.1 hadi Windows 10 ambayo si trial version kwa kifurushi chenye ukubwa wa GB 3 tu.
Kwa kweli ufahamu wangu mimi ni karibia na sifuri kwenye haya mambo za teknolojia hivyo ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anatumia hiyo Windows 10 anipe ushauri kama inafaa na mimi nijiunge au niachane nayo.
Salam