Samsung S4 haipokei chaji

Samsung S4 haipokei chaji

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
2,609
Reaction score
1,704
Habari wakuu.

Naomba msaada wa kiufundi/ushauri, simu yangu (Samsung S4) imegoma kupokea chaji.
Wiki mbili nyuma ilikuwa inatumia muda mrefu isivyo kawaida kuchaji!
Nimejaribu kubadilisha adapta ikachaji vizuri kwa wiki moja kabla ya kupunguza kasi na sasa imegoma kabisa.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
tatizo lipo ktk cable au charger,maana nami huwa inanitokea.nikibadili inapiga mzigo
 
Back
Top Bottom