NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,930
- 924
Wakuu msaada-nina external h.d yangu- one tb.transcend imegoma kusoma.inawaka lakini haiendelei zaid ya hapo-nahisi kuna mtu atakuwa ameidondosha maana niliiacha nyumbani na kulikuwa na movies vijana wakawa wanaitumia-
kama kuna mtu mwenye kujua means ya kuiponya naomba anisaidie maana kuna mazaga yangu muhimu sana humo ndani.
Msaada wenu nitashukuru sana
kama kuna mtu mwenye kujua means ya kuiponya naomba anisaidie maana kuna mazaga yangu muhimu sana humo ndani.
Msaada wenu nitashukuru sana