Vyuo vya computer Science kwa elimu ya form four

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
963
Reaction score
437
Msaada jamani, nilikuwa nataka kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Computer Science kwa hapa bongo katika chuo chochote kinacho tambulika lakini elimu yangu ni kidato cha nne. Je, kuna sehemu yoyote ya kuanzia kama zilivyo course nyingine mpaka uanzie Diploma?

Natanguliza shukrani sana
 
lazima uanze diploma.... au nenda VETA.
 
Msaada jamani, nilikuwa nataka kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Computer Science kwa hapa bongo katika chuo chochote kinacho tambulika lakini elimu yangu ni kidato cha NNe je kuna sehemu yoyote ya kuanzia kama zilivyo course nyingine mpaka uanzie Diploama? Natanguliza shukrani sana

Taja cheti chako kikoje,
bongo hatuangalii elimu.
 
Unaweza kuanzia certificate in ICT kwenye vyuo vya NACTE kama UCC na vingine. From there utaenda diploma and so forth
 
ndio ila nimechoka kusoma kama mnyororo ivyo nataka niache kusoma A level

Usisome tu CS kwasabu umevutiwa/kutamani mana unaezaishia kama baadhi ya kaka zetu hawa walio na degree zao za St. Joseph with 3.6 or more na wako kitaa.

Lakini sio kwasabu jamaa wako kitaa ndo usisome, just open your mind bob go go go get some advice from yo parents in any other way.

i was just saying no any man to roll his waist in front of this.
 
inaelekea mtu akitoka st.joseph una muona kilaza.....hehehe
 
Nimesema baadhi, kama unajua kusoma utakuwa umeona.
Ndomana nikamalizia kwamba i was just sayin sitaki mtu akatie viuno kwenye ile post, mana nilijua watakuja kama wewe.

i don't care about your personal University mana i will judge you by what you say and think.
 
Usisome tu CS kwasabu umevutiwa/kutamani mana unaezaishia kama baadhi ya kaka zetu hawa walio na degree zao za St. Joseph with 3.6 or more na wako kitaa.

Lakini sio kwasabu jamaa wako kitaa ndo usisome, just open your mind bob go go go get some advice from yo parents in any other way.

i was just saying no any man to roll his waist in front of this.

basi bro nimeamua kwanza nimalizane na a level ndio nijishughulishe na CS

ila kwani kuna tofauti gani kati ya
IT
CS
IS
 
Nimesema baadhi, kama unajua kusoma utakuwa umeona.
Ndomana nikamalizia kwamba i was just sayin sitaki mtu akatie viuno kwenye ile post, mana nilijua watakuja kama wewe.

i don't care about your personal University mana i will judge you by what you say and think.

by ze way....isiwe topic. ....msaidieni huyo m2 hapo juu
 
Usisome tu CS kwasabu umevutiwa/kutamani mana unaezaishia kama baadhi ya kaka zetu hawa walio na degree zao za St. Joseph with 3.6 or more na wako kitaa.

Lakini sio kwasabu jamaa wako kitaa ndo usisome, just open your mind bob go go go get some advice from yo parents in any other way.

i was just saying no any man to roll his waist in front of this.

Duh! Seriously?
 
Kasome A-level shule inayofundisha Computer Science kama optional subject kama una huo uwezo e.g. Loyola.
 
Computer subject au Computer Science as subject!!!???Computer Science inawigo mpana sana,ndani yake kuna aspects kama Communications and Networks,Computer Programing, Alogarithms and Data Structures, Automata, AI, Mathematical logic, Operating Systems(indeep), Software Engineering, Computer Maintainance.......Kama alivo sema Snipa,sio yakukurupukia tu,na secret behind it nikwamba inabidii uwe unainterest kubwa sana!Sidhani kama Hao loyola wanafundisha "Computer Science", nakama wanafundisha basi nikaintroduction kadogo sana,huwezi kucompare na ukienda kusoma Diploma!
 
Msaada jamani, nilikuwa nataka kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Computer Science kwa hapa bongo katika chuo chochote kinacho tambulika lakini elimu yangu ni kidato cha nne. Je, kuna sehemu yoyote ya kuanzia kama zilivyo course nyingine mpaka uanzie Diploma?

Natanguliza shukrani sana

Vyuo vipo ila havipo deep sana ukicompare na vyuo vya nje,Kuna ATC(Arusha Techinical College) na IFM,kidogo hivi vinatambulika na somehow vyajitahidi,,ila kwa ushauri tu,,kama huna a realy interest futa mawazo kusoma chochote kinachohusu hii field including(Com Engineering,IT,ICT),utabugi,hizi field yakupasa uwe na kipaji nazo,field moja rahisi vilevile ngumu sana,yani uwezi kuwa professional kwa kukaa tu darasani nakumsikilaza prof,kusoma handouts kujibu mtihani na kufaulu tu,,inakupasa uwe quick learner na mtafutaji pia,kilakukicha mambo yanabadilika, technology inabadilika,kwaio ni ongoing learning.Kitu kingine,ukisoma kibongobongo iliukimaliza uajiriwe basi haikufai,inabidi hujiongeze kama hujuavyo nchi yetu ipo nyuma sana technological!ila kwa upande wa field yenye future nzuri sana ni hii,incase of mbefele ni moja ya top paying jobs currently via Forbes(The Highest Paying In-Demand Jobs In America - Forbes)
 
Computer subject au Computer Science as subject!!!???Computer Science inawigo mpana sana,ndani yake kuna aspects kama Communications and Networks,Computer Programing, Alogarithms and Data Structures, Automata, AI, Mathematical logic, Operating Systems(indeep), Software Engineering, Computer Maintainance.......Kama alivo sema Snipa,sio yakukurupukia tu,na secret behind it nikwamba inabidii uwe unainterest kubwa sana!Sidhani kama Hao loyola wanafundisha "Computer Science", nakama wanafundisha basi nikaintroduction kadogo sana,huwezi kucompare na ukienda kusoma Diploma!

Mtoa mada amesema ameamua kusoma A-level. Hivyo nikamshauri aende shule yenye Computer Science.

Wakati wewe unadhani, mimi nimesoma A-level Loyola KWA SABABU Computer Science inafundishwa hapo. Na NECTA nikafanya. Hizo units ulizoongelea i.e. Computer Programming, Data Structures and Algorithms, Communications amd Networking, Databases, Web dev, Digital logic n.k ni topics ndani ya hilo somo kama zilivyo modules kwenye course ya diploma. It is almost equivalent to a diploma. Trust me.

But all in all, ni kweli kuwa passion na interest vinachangia kwa kiasi kikubwa sana, na mleta mada ametuonyesha kuwa anavyo. Hivyo basi nimemshauri asome A-level yenye Computer Science ili atungue ndege hao wawili kwa jiwe moja.
 
Back
Top Bottom