Nimejaribu kuinstall Deja Vu kwenye laptop ambayo inaendeshwa kwa Windows 8.1. Kila ninaposakinisha (Intall) inakuja mesaji hii
"This installation package could not be opened. Verify that the...
My computer keep telling me that the operating system has detected that the cooling fan is not operating properly, continued operation is not recommended and may cause unpredictable behaviour...
Msaada !
Kuna practise nafanya ya ku access internal network pamoja na Web Api.
Nimefanikiwa kujua IP zake (wanatumia static IP).
Ninapo add kwa command ya ( ip route add 10.XXX.XXX.0/24 via...
Wakuuu naombeni msaada laptop haiwaki kabisa toka Jana. Yaani hata uiwashe haiwaki ila CD ROM inawezekana kufunguka ila screen haiwaki...je nn tatizo na solution yake???laptop ni dell
Kuhusu...
Salaamu sana wadau! Jamani nilikuwa nimeinstall window 8 kwenye PC yangu bahati mbaya ika collapse, niliamua kuinstall window 8 tena, lakini baada ya kupiga window local disk D haifunguki...
Mimi ni mpenzi wa simu za android, nakiri kwamba huawei ascend P7 na mate 7ni mojawapo ya simu nzuri sana. Kwa wale wapenz wa huawei fungukeni experience zenu hapa
Hellow guys, naombeni msaada wenu wa kuingalia app hii kwa undani kabla sijaifanyia final touches kwa ajili ya kuoweka play store kwa Mara nyingine.Ilikuwepo before but nimeifanyia redesigning ...
habariini waungwana
Nina shida nahitaji nisaidiwe kuondoa mapicha yanayotumwa kwenye smartphone yangu upande wa magroup nataka niwe nadownload picha ninayotaka na kuisave kwenye simu yangu...
There is constant rivalry between these three giant mobile operation system. Its been 7 years, and the great iOS vs Android debate rumbles onin internet forums and real life. But these...
Mambo vipi wakuu..
Nahitaji laptop nzuri kwa ajili ya matumizi mbali mbali. Sasa nimeziona HP pavilion na hp elite book series, sasa nauliza ni nzuri?
Mimi ni mtu wa internet sana huwa napenda...
Habarini,
Nipo dodoma nahitaji video tutorial za wordpress nadhani ni rahisi ku customize kuliko kuanza from scratch mwenye video naomba tuwasiliane nijue namna ya kuzipata.
NB: nipo dodoma mpaka...