Kama uko mwanza tusaidiane kwa hili.

Kama uko mwanza tusaidiane kwa hili.

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
534
Reaction score
319
Katika harakati za kupata usafiri leo katika gari zetu hizi Za kukimbilia nimejikuta EXTERNAL HDD yangu ya kazi wamenichomolea, ina vitu vyangu vya muhimu sana popote pale utakapoona mtu anauza external HDD inauzwa nipigie kupitia no.. 0765-157346
Nafanyia kazi mtaa wa lumumba.
 
Back
Top Bottom