msaada

msaada

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
nina simu aina ya tecno y4 kila nikiweka usb kwenye pc kutaka kuamisha data haikonect kuniwezesha simu yangu kuonekana kwwnye pc zaidi ya kuingiza chaji tu
 
Wezesha usb debug kwenye simu yako kwanza, halafu connect kwenye pc yako chagua mtp subiria baada ya sekunde kadhaa itaonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom