Msaada: Agent wa Macbook(Apple Products) Dar

boda

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
354
Reaction score
303
Niaje wadau, Ni sehemu gani kwa Dar nitapata agent mnzuri wa laptop za Apple(Macbook). Nataka ninunue,
 
Urgent mzuri ndiyo yukoje?
Nawafahamu resellers wa apple, Elite computers - wapo Upanga pembeni mwa Olimpio primary school.
 
Mimi huwa naagiza moja kwa moja...
 
Urgent mzuri ndiyo yukoje?
Nawafahamu resellers wa apple, Elite computers - wapo Upanga pembeni mwa Olimpio primary school.

Ok boss labda nimekosea katika uandishi, nikitaka nifike hapo natokea kimara nafikaje?
 
kama vpi nenda kwnye duka lao Mlimani City, utapata Mac unazozitaka
 
Thank u, nataka pia nicheki sehemu tofauti tofauti, ili nifanya ulinganishi na bei
 
Ok boss labda nimekosea katika uandishi, nikitaka nifike hapo natokea kimara nafikaje?
Nenda mpaka kituo cha daladala Muhimbili stand. Waweza kuchukua bodaboda toka Muhimbili hadi hapo Olimpio kwa sh. 2000/=
 
Thank u Ozzie
 
Pia pale jmall au harbor (Samora avenue road) view kuna duka la Apple products.
 
Naona mnafanya market...unauliza mwenyewe unajijibu mwenyewe
 
Hamna nataka nicheki sehemu zaidi ya moja, ili nilinganishe bei na warranty zao
 
Urgent mzuri ndiyo yukoje?
Nawafahamu resellers wa apple, Elite computers - wapo Upanga pembeni mwa Olimpio primary school.

Jaribu pale Mlimani City utawakuta na hizo Macbook zipo kwa wingi tu na bei nzuri. Najiandaa kununua moja.
 
Back
Top Bottom