Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Pole na majukumu wanaJF pamoja na ufisadi wa Escrow Naomba kufahamisha nawezaje kutumia kifaa changu cha android kama decoder kwenye tv, nina app moja nimeinstall katika simu nacheki mpira...
1 Reactions
49 Replies
12K Views
Naombeni kujua jamani..hawa jamaa wa Smart wana vifurushi vyao vya internet vinanishawishi sana kujiunga nao,japo sijui wanapatikana wapi..lakini swali ni je,hivi hii unlimited yao ni unlimited...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sheria hii inaanza kutumika september 1 Je, Nchi imejipanga kweli au Geresha tuu , Je tuna Cyber Space? au ni Kutishana tuu wataalamu wa I.T watueleze na wenye uzoefu wa nchi nyikingine kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza aina tofauti za smartphones zile original kabisa wakuu. Kama wahitaji unaweza nicheck hapa 0715242454,niko Mbeya.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Guyz anaombeni mnisaidie mm nipo interested sana nakujifunza Programming and ninandoto kubwa sana ya kujakuwa Programmer in future ningependa sana kuja kuiishi hyo ndoto yangu Ila kwasasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu habari yenu! Mimi nna tecno H6 operating system ilimisbehave ikastuck nkaizima simu nilipoiwasha ikawa inaishia kwenye logo ya tecno alafu inajizima na kujiwasha inaendelea hivyo. Nilijaribu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Je, ni laptop ya kampuni ipi ina ubora ukiachana na za Apple? Nakaribisha maoni yako.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Mwenye Wireless router ya Zantel ambae haitumii tafadhali sana nina shida nayo offer 70,000. Mwenye nayo anayo ona ofa ni ndogo mazungumzo yapo naweza kusikiliza offer yake nikiimudu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Are Self-Driving Cars An Ethical Imperative? - Forbes
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Disable all Windows 10 Privacy Issues..... Location Data Biometrics and Handwriting data Advertisement and its Tracking Code Apps access to your personal information Windows Defender and Sample...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Wakuu nikiconnect kwa usb Napata meseji "the last usb device connected malfunctioned window is unable to find software to recognize the device"
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Tangu juzi decoder yangu ya dstv imeniletea mauzauza. Haioneshi chochote kuna kataa kanjano kanawaka. Decoder ni DSD 3 U. Mwenye ufahamu anisaidie maana dstv wameniambia nizime na kuwasha na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nisaidieni laptop yangu toshiba c850-b540 aishiki wireless. Nimejarbu kutafuta kwenye net nmekosa kabsa. Tafadhali ambaye anajua namna ya kupata wireless kwenye aina iyo ya laptop anisaidie plz.
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Nataka kutumia Blackberry Q10,kwa kulinganisha na Samsung Galax S3 ni bora nitumie simu ipi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimenunua modem ya tigo huawei e303h-1. tafadhali mwenye firmware update au trick nyingne niweze kuitumia kwa simcard nyingne anisaidie. asanteni sana..
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Tigo walitikisa sana kwa series yao ya ascend y200 (Tsh 165,000)mwaka juzi na y300 (Tsh 175,000 na 195,000)ndio ikawa hatari zaidi kuanzia mwaka jana. Hizi simu zote nimezijaribu, ziko poa sana tu...
1 Reactions
46 Replies
24K Views
Habari Jamani nina shda ya ufahamu juu ya hyo device tajwa hapo juu. Ningependa kufaham ni app gan zimo ndan yake na pia ktk harakat zangu za kugugo nikaona kwamba whatsapp haisapot tablet...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa mfano una huduma ya internet cafe ambayo pia huduma ya wireless ipo.sasa nitafanyaje kila mteja anayetaka kutumia huduma hiyo atumie password ya kwake na isifanane na mwingine?? kuna software...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna laptop hapa inazngua sana... Pointer ya mouse inakua ina move yenyewe, kwa hiyo mpka nashindwa kufanya selection ya program vizuri. Sasa tatizo laweza kua nini ? and how to fix it.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu wana JF Naombeni msaada, nina site yangu (Udaku Leo - Pata udaku daily) ambayo hapo mwanzo adsense zilikuwa zinadisplay bila tatizo kwa zadi ya mwaka, lakini sasa ghafla tu zimeacha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…