Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Sayansi na Teknolojia (Must), Profesa Joseph Msambichaka (mwenye miwani katikati) akifuatilia maelezo ya wanafunzi kuhusu utengenezaji wa roboti. Picha na Lauden...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu... Nina tatizo moja katika simu yangu ni android,ni double line na kwa kawaida line 1 uwa ndo inasapoti 3G then line 2 inasapoti 2G only. Tatzo ni kua pale pa kuekea line...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Trick hii inakubali katika vlc latest version so far ambayo ni VLC 2.2.1 kama huna unaweza kupakua kutoka katika hii link VideoLAN - Official page for VLC media player, the Open Source video...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Guys natafuta câble yenye output(kutoa) ya VGA na input (kupokea) ya HDMI....very urgently
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kama kuna anayefahamu wapi naweza kupata betri original ya simu blackberry curve 9220. Tangu ilipochoka betri iliyotoka na simu, nimebadilisha betri mara mbili na baada ya muda mfupi tu...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
wana jamvi nna tatizo limeanza kujitokeza baada ya kuanza kutumia memory card nkiwa natumia instagram huwa inatokea masej inasema UNFORTUNATELY INSTAGRAM HAS STOPPED sjui nn tatizo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu natumia windows 8, kila nikiingia net kwa mozilla au internet explorer kuna page za matangazo zinajifungua juu ya page niliyokuwepo. Imekuwa ni kero kubwa mno kwangu nisaidieni namna ya...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Simu yangu imepoteza contact all most zote naomba namna ya kuzirudisha. Wataaalamu tusaidiane
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Heshima yenu wakuu. Flash disc yangu inakataa kusoma mafaili yaliyopo ndani. Nimejaribu kutumia katika kompyuta zaidi ya moja lakini inaonekana haina faili lolote. Nikiwa naiscan mafaili...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
jamani waadau naomba msaada wa kupata, cable ya simu ambayo ninaweza kuunganisha au kuchomeka kwenye simu Na upande wapili wa cable unakuwa na port yakuchomeka flash,kwanamna nyingine naweza...
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Naona huyu hacker anasumbua account za mastar wa bongo sana..jana Huddah nayeye kafanyiwa yake.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Kwa yeyote anayefahamu Official API ya m-pesa (vodacom Tanzania) inatoka lini, naomba anitaarifu. PS: nafahamu kuhusu API ya safaricom so don't recommend that.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau vipi,its my hope mko poa. Nahitaji ushauri kwani natumia laptop ya ASUS X453M ina Window 7 Professional ila nimedownload several pc games za kunikeep busy nikiwa idle ambazo zinaweza chezwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Congratulations!You have got 19 minutes to call all networks, 1000 national SMS and 8MB to be used till 2015-08-25.Dial *149*60# for balance. HII SIO HAKI NAKIWA KUPATA DAKIKA 20 NA SIO 19
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Jamani IPI naweza download screen recorder maana nyingi hazieleweki
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Licha ya kuinstall bass boster kwa android yangu nahitaji headphones zenye uwezo mkubwa kutoa mziki. natumia sony lakin sijazikubali hata. Napenda ziwe za rubber za maskion. Pia napenda mwenye...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wandugu naitaji kujua SD card iliyo kwenye simu kutosomwa ghafla na ikaonekana imetolewa na wakat haijawa removed, tatizo laweza kuwa nini. Asanteni
0 Reactions
15 Replies
3K Views
habari wanajf??naomba mnisaidie kama kuna remote ya kuwashia au kuzimia laptop(PC),ctak kutumia keyboard au mouse nahtaj remote kama ipo na inapatikanaje na bei yake kiasi gani. AHSANTENI SANA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu simu yangu mpya wa tecno inabadili pics baada ya muda kuwa thumbnail na hata nikitumiwa video naiangalia baada ya muda haifunguki teena niikiifata kwenye galley haifunguki vivyo hivyo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…