Msaada kuhusu SD card kwenye simu

Msaada kuhusu SD card kwenye simu

dasi besi

Senior Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
191
Reaction score
105
Wandugu naitaji kujua SD card iliyo kwenye simu kutosomwa ghafla na ikaonekana imetolewa na wakat haijawa removed, tatizo laweza kuwa nini.
Asanteni
 
labda ni feki... au sivyo jaribu kuitoa na uiweke upya.
 
dasi besi mi pia nilikutana na hio ishu kama week mbili zilizopita...Nimeamka asubuhi nashika simu yangu tu nikashangaa notification "sd card unmounted unexpectedly" baada ya hapo haikuweza kutumika tena,
niliijaribu kuitoa na kuirejesha haikufaa,nkaweka kwenye laptop pia haikuonekana kabisa na hapo ndio ikawa mwisho wa habari yake...Nilipoteza kila kitu zikiwemo picha zangu ambazo ndio zilikuwa muhimu zaidi kwa kweli niliumia sana, nilienda nunua mpya ya samsung ndio znasemekana ndio O.G!
Cha kufanya andaa hela katafute memory nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Wandugu naitaji kujua SD card iliyo kwenye simu kutosomwa ghafla na ikaonekana imetolewa na wakat haijawa removed, tatizo laweza kuwa nini.
Asanteni

toa hiyo sd card weka kwenye card reader then chomeka kwenye computer . ikionekana fanya kuiformatt na isipoonekana au ikionekana na ikagoma kuformatt basi hiyo sd card imekufa
 
Wakati mwingi inakuwa uchafu safisha kwa benzin au methylated spirit.
 
dasi besi mi pia nilikutana na hio ishu kama week mbili zilizopita...Nimeamka asubuhi nashika simu yangu tu nikashangaa notification "sd card unmounted unexpectedly" baada ya hapo haikuweza kutumika tena,
niliijaribu kuitoa na kuirejesha haikufaa,nkaweka kwenye laptop pia haikuonekana kabisa na hapo ndio ikawa mwisho wa habari yake...Nilipoteza kila kitu zikiwemo picha zangu ambazo ndio zilikuwa muhimu zaidi kwa kweli niliumia sana, nilienda nunua mpya ya samsung ndio znasemekana ndio O.G!
Cha kufanya andaa hela katafute memory nyingine.

Asante ndugu nami na wasiwasi wa kupoteza file zangu muhim
 
Last edited by a moderator:
toa hiyo sd card weka kwenye card reader then chomeka kwenye computer . ikionekana fanya kuiformatt na isipoonekana au ikionekana na ikagoma kuformatt basi hiyo sd card imekufa

Asante ngoja njaribu
 
Back
Top Bottom