Msaada unahitajika

Msaada unahitajika

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Habari zenu wakuu...

Nina tatizo moja katika simu yangu ni android,ni double line na kwa kawaida line 1 uwa ndo inasapoti 3G then line 2 inasapoti 2G only.

Tatzo ni kua pale pa kuekea line kwenye line 1 vile vichuma vitatu vimekatika kwa bahati mbaya,kwahyo hapa natumia line 2 ambayo ni 2G.

Kwa wataalum nilikua nauliza kuna namna nyingine ya kuweza kufanya hii line 2 nayo isapoti 3G,au kutengeneza ivyo vichuma inawezekana?

Nakaribisha msaada wenu.Asanteni.
 
MKUU nenda kwenye sim card management and settings, unaweza badilisha hiyo 2 G kuwa 3 G
Pia hiyo sim card socket inabadilishika..
 
Back
Top Bottom